TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Friday, October 12, 2012

UZINDUZI WA KAMPENI YA "BECOUSE IAM A GIRL"

























Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu leo amezindua Kampeni ya ” Because I Am A Girl” inayolenga kujenga mazingira yasiyokuwa na unyanyasaji wa Kijinsia kwa wasichana wote ndani na nje ya Shule,uzinduzi huo  umeratibiwa na Shirika la Kimataifa la Plan International Tanzania  na kufanyika katika Ukumbi wa Kalimjee.
Pichani juu ni Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu pamoja na baadhi ya Wanafunzi na Watendaji wa Plan na Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto

No comments:

Post a Comment