UNESCO WATOA MAFUNZO YA TEHAMA KWA WALIMU WA VYUO VYA UALIMU
Godfrey Haongo mkufunzi kutoka Open University nchini Tanzania akitoa elimu ya njia ya mtandao.
Baadhi ya walimu wanaoshiriki mafunzo hayo.
Na Geofrey Adroph,
UNESCO
imeaandaa mafunzo ya uboreshaji wa elimu kwa walimu hususani katika somo
la Tehama kwa vyuo mbalimbali vya hapa nchini vinavyotoa elimu ya
ualimu.
Mafunzo
hayo yaliyoandaliwa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na
Utamaduni (UNESCO) Tanzania yamefanyika katika chuo cha Dar es Salaam
Institute of Technology (DIT) ili kuweza kuwapa fursa hiyo waalimu wa
vyuo mbalimbali katika ufundishaji na uelimishaji namna ya matumizi ya
Tehama
No comments:
Post a Comment