Chelsea walivyosherehekea Kombe na Ushindi wao Ligi Kuu Uingereza jana (Pichaz & Video)
Klabu ya Chelsea jana walikuwa na kibarua cha kuikamilisha ratiba ya mechi zao kwenye ligi Kuu ya Uingereza, Barclays Premier League.. kwenye mchezo huo walikuwa wakibanana na Klabu ya Sunderland ambapo filimbi ya dakika 90 kukamilika ilipulizwa huku Chelsea ikiongoza kwa ushindi wa goli 3-1.
Chelsea imemaliza kibarua hicho kwa kufanikiwa kufikisha jumla ya points 87, nafasi ya pili wako Man City wenye points 79 huku Arsenal wakifuatia kwa points 75.
Kuna pichaz na video mwanzo mpaka mwisho wakati Chelsea wakikabidhiwa ushindi wao pale Stamford Bridge.

Didier Drogba na wachezaji wenzake wa Chelsea wakiingia uwanja wa Stamford Bridge jana May 24 2015 katika mechi yao ya kukamilisha ratiba ya Ligi kuu ya Uingereza.

No comments:
Post a Comment