ELIMU YA KATIBA INAYOPENDEKEZWA, ZAMU YA WANANCHI WA WETE, PEMBA
SHEHA
wa shehia ya Kipangani Ali Said Hamad akifungua mkutano wa kuelimisha
katiba inayopendekezwa, ulioandaliwa na Kituo cha Hudma za Sheria
Zanzibar ZLSC, tawi la Pemba, kulia ni Hakimu wa Mahakama ya Ardhi mkoa
kusini Pemba Salim Hassan Bakar na kushoto ni Mratibu wa ZLSC Fatma
Khamis Hemed.
MWANASHERIA
wa serikali Albaghir Yakout Juma, akitoa ufafanuzi wa Katiba
inayopendekezwa mbele ya wananchi wa wilaya ya wete Pemba, mkutano
ulioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC tawi la
Pemba, ambao uliofanyika Jamhuri Hall wete Pemba
MMOJA
wa wananchi wa wilaya ya Wete akitaka ufafanuzi wa Ibara ya 97 juu ya
'Bunge kumshitaki rais' kwenye katiba inyopendekezwa, wakati Kituo cha
Huduma za Sheria Zanzibar ZLSC walipofika kutoa elimu ya katiba hiyo kwa
wananchi gazi ya wilaya. Picha na Haji Nassor, Pemba(Muro)
No comments:
Post a Comment