Njia alizotumia Professor huyu wa chuo kwa wanafunzi wake ili wafaulu ni Stori!!..
Kuna njia nyingi ambazo wanafunzi wengi
wa vyuo wamekuwa wakizitumia ili kuhakikisha wanafaulu mitihani yao ya
mwisho na hata wengine hutumia fedha ili tu kuhakikisha wanafaulu.
Lakini hii njama iliyotumiwa na wahadhiri wa chuo cha University of California, San Diego imepelekea
wazazi wa wanafunzi kupandwa na jazba na hata kuwafikisha kwenye vyombo
vya kisheria baada ya kuwataka wanafunzi kucheza uchi ili waweze
kufaulu mitihani yao.
Mmoja wa wazazi wa wanafunzi hao alisema Professor Ricardo Dominguez alimlazimisha binti yake kuchagua kuvua nguo na kucheza au kufeli mitihani.
Hata hivyo uongozi wa chuo hicho
ulikanusha shutuma hizo na kusisitiza hawakuwalazimisha bali waliwataka
kuchagua wenyewe kucheza bila nguo ama kucheza na nguo.
No comments:
Post a Comment