JK AFUNGUA MKUTANO WA MABALOZI WA TANZANIA.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wakati wa
mkutano wa mabalozi wa Tanzania.Mkutano huo umeandaliwa na Wizara ya
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,unaojadili kwa kina namna ya
kutekeleza dira mpya ya Sera ya Mambo ya Nje ya Tanzania ili kuendana na
mabadiliko ya Uchumi na Diplomasia Duniani na kuleta tija nchini.
(Watatu Kushoto), Waziri wa Mambo ya Nje Mh.Bernard Membe,Wanne kushoto
ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na wapili kushoto ni Katibu
Mkuu wa Wizara hiyo Balozi Liberata Mulamula.(VICTOR)
No comments:
Post a Comment