Mkutano wa Dharura Nchi za EAC kuhusu Burundi kufanyika mwishoni mwa mwezi Mei
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K.
Membe (Mb.) akizungumza na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) tarehe
25 Mei, 2015 kuhusu Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki unaotarajiwa kufanyika Jijini Dar es Salaam tarehe 31
Mei, 2015 kuhusu masuala ya amani na usalama nchini Burundi. Mkutano huo
ambao umeitishwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya EAC, Mhe. Rais Jakaya
Mrisho Kikwete utatanguliwa na Mkutano wa Baraza la Mawaziri.
Mhe. Membe akiendelea na mkutano wake na Waandishi wa Habari.Picha na Reginald Philip.(
Muro)
No comments:
Post a Comment