Rais Wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi alihutubia Bunge Dodoma
Rais Wa
Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania leo mjini Dodoma huku Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na
Spika wa Bunge hilo Mh.Anna Makinda wakisikiliza.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais wa Msumbiji Felipe Jacinto
Nyusi,Waziri Mkuu Mizengo Pinda,Spika wa Bunge la Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania na viongozi waandamizi katika serikali ya Msumbiji wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Rais wa Msumbiji kulihutubia Bunge lao mjini Dodoma.
ya Muungano wa Tanzania na viongozi waandamizi katika serikali ya Msumbiji wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Rais wa Msumbiji kulihutubia Bunge lao mjini Dodoma.
Mwenyekiti
wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikweteakimtambulisha katibu Mkuu wa CCM
Ndugu Abdulrahman Kinana kwa Rais wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi
wakati Rais huyo wa Msumbiji alipowasili katika makao makuu ya CCM
m.Jakayajini Dodoma na kuzungumza na viongozi waandamizi .Kushoto ni
Naibu katibu Mkuu wa CCM Bwana Mwigulu Nchemba.
Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh.Anna Makinda akimkaribisha Rais
wa Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma
ambapo Rais huyo alilihutubia Bunge hilo.
Rais Wa
Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi akipokea heshima muda mfupi baada ya
kuwasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma akisindikizwa na mwenyeji
wake Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.
Rais wa
Msumbiji Felipe Jacinto Nyusi akisaini kitabu cha wageni ofisini kwa
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo huku Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na Spika Mhe.Anna Makinda wakishuhudia. (Picha
na Freddy Maro).(Muro)
No comments:
Post a Comment