DEO NJIKU KUGOMBEA UBINGWA WA TAIFA
Mabondia Omary Ramadhani kushoto na Deo Njiku wakitunishiana misuri baada ya kusaini mkataba kupigania ubingwa wa Tanzania PST siku ya February 14 katika ukumbi wa Friends Corner Hotel Manzese picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Na: Mwandishi Wetu
MABONDIA
Deo Njiku wa Morogoro na Omary Ramadhani wataingia uringoni Februari
14 katika ukumbi wa Friends Corner Hotel Manzese 14 kuwania Ubingwa wa
Tanzania PST Mpambano huo wa aina yake unatarajiwa kuwa wa kusisimua
kutokana kila mtu kuwa na rekodi nzuri mpambano huo utakaosindikizwa na
mpambano mwingine wa ubingwa kati ya Godfrey Silver na Adam Yahya
ambapo mipambano hiyo itakuwa yaraundi kumi
Huku
kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi Nchini, Rajabu Mhamila ‘Super
D’ atampandisha kwa mara ya kwanza bondia wake mpya Iddy Mnyeke kuvaana
na Sadiki Momba mpambano utakaopigwa kwa raundi nne
Mgeni
rasmi siku hiyo anatsrahjiwa kuwa ni Kamanda wa polisi mkoa wa Kipolisi
wa kinondoni Charles Kenyela atakaewafisha mikanda ya ubingwa
No comments:
Post a Comment