Taarifa za kuaminika zilizorushwa na Radio Wapo katika kipindi chake cha
 patapata leo asubuhi, ni kwamba watu wasiojulikana wamelivamia kanisa 
moja huko Zanzibar na kulirushia kitu kama bomu kilicholipuka moto japo 
majirani waliamka na kuuzima moto huo kabla kuleta madhara makubwa.
Tukio hilo limejitokeza leo Alfajiri.Hakuna chombo cha dola kilichofika eneo hilo hadi mida hii....
Tukio hilo liliambatana na vipeperushi vinavyodai kuwa na Bado...!!!
Tukio hilo limejitokeza leo Alfajiri.Hakuna chombo cha dola kilichofika eneo hilo hadi mida hii....
Tukio hilo liliambatana na vipeperushi vinavyodai kuwa na Bado...!!!
No comments:
Post a Comment