PINDA AZINDUA GSI TANZANIA
Waziri 
Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi  wa Mpango  Mkakati
  wa Miaka Mitano  wa Taasisi  ya  GSI Tanzania  kwenye ukumbi wa hoteli
 ya Blue Pearl  jijini Dar es salaam Februari 27, 2013. Wa pili kulia ni
 Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Dr.Abdallha Kigoda. Kushoto ni 
Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Joyce Mapunjo.(Picha na Ofisi ya Waziri 
Mkuu)
Waziri 
Mkuu, Mizengo Pinda akitazama mikoba katika maonyesho yaliyoambatana na 
Uzinduzi wa  Mpandgo Mkakati wa Miaka  Mitano wa Taasisi  ya GSI 
Tanzania kwenye ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl jijini Dar es slaam 
Februari  27, 2013. Kushoto ni Waziri wa Viwanda,Biashara na Masoko, 
Abdallah Kigoda na kulia ni  Katibu  Mkuu wa Wizara hiyo, Joyce Mapunjo.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments:
Post a Comment