BARAZA LA VIJANA CCM LAKUTANA MBAGALA
 Mgeni 
rasmi wa Baraza la Vijana wa CCM (UVCCM) la Kata ya Mbagala ambaye pia 
ni Mwenyekiti wa UVCCM, Oliver Mwambope (aliye katikati mwenye shati la 
mikono mirefu) akiwa kwenye meza kuu. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa 
CCM, Kata ya Mbagala, Mzee Kassim Ngamba. anayemfuatia ni Mjumbe wa 
Mkutano Mkuu wa Taifa wa Vijana, Anastazia Mwonga, Mjumbe wa Baraza la 
Mkoa DSM, Teddy. Kulia kwa Mgeni rasmi ni Mwenyekiti wa UVCCM, kata ya 
Mbagala, Abdulhaman Ngamba na Mjumbe wa Baraza la Mkoa wa DSM, Ally 
Makwiro
No comments:
Post a Comment