WAKALI WA MUZIKI WALIVYOTOKEZA KWENYE TUZO ZA GRAMMY 2013
![]()  | 
| Pamoja na kwamba Adele alikua kakasirishwa na kitendo cha CB, alipiga nao picha kila mmoja kwa wakati wake. | 
![]()  | 
| Mwimbaji Frank Ocean ambae alikiri kwamba anashiriki mapenzi ya jinsia moja akiwa anapanda jukwaani baada ya kutangazwa mshindi wa Best Urban Contemporary Album | 



No comments:
Post a Comment