TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Wednesday, February 20, 2013

UJUMBE WA MESSAGE WAMPONZA RIHANA

KITENDO cha mwanamuziki Rihanna kutuma ujumbe mfupi kwenye simu ya mkononi kwa aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Rapa Drake kumesababisha mtafaruku uliochangia kusitisha uhusiano uliopo baina yake na Chris Brown kwa muda
Kutokana  na kitendo hiko wawili hao walionekana kutokuwa na furaha hatimaye wamefikia uamuzi wa kusitisha uhusiano kwa kipindi kisichojulikana

Wawili hao walionekana kuwa na ugomvi katika usiku wa tuzo za Grammy ugomvi uliosababishwa na Rihanna kutuma ujumbe kwa aliyekuwa mpenzi wake wa zamani

Chanzo cha habari kilisema "Rihanna alipokuwa akituma ujumbe huo Chris aliona kitendo chote ingawa hakujisikia vizuri"

No comments:

Post a Comment