RAIS KIBAKI ATEMBELEA NCHINI
Rais 
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Mwai Kibaki wa Kenya muda 
mfupi baaada ya kuwasili katika uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Julius 
Nyerere kwa ziara ya kiserikali ya siku mbili.
Rais Mwai 
kibaki wa Kenya akikaribishwa  kwa maua na Mwanafunzi Tazmina Rasul(6) 
muda mfupi baada ya kuwasili nchini kwa ziara ya kiserikali(State Visit)
 ya siku mbili huku mwenyeji wake Rais Dkt.Jakaya Kikwete 
akiangalia(picha na Freddy Maro)


No comments:
Post a Comment