TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Monday, February 25, 2013

MWANAMUZIKI WA BONGO FLAVA AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA HUKO BURUNDI

Msanii wakizazi kipya, anae ondoka na mitindo ya bongo flava Ally TIMBULO kuna tetesi zinasema kuwa amekamatwa na dawa zakulevya Mjini Bujumbura

Habari zinadai kwamba Msanii huyo alikuwa na mpango waku endesha tamasha Mjini Bujumbura mwezi wa 4 baada ya maombi lukuki ya washabiki wake Mjini Bujumbura/nchini Burundi . ......
 Mtandao huu unaendelea  kufuatilia undani  wa  tukio  hili

No comments:

Post a Comment