JK ASHIRIKI MAZISHI YA ASKOFU WA KATOLIKI MSALIKIE
  | 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka
 udongo katika kaburi la Askofu Mstaafu Jimbo katoliki la Moshi,Marehemu
 Mhashamu Amedeus Msarikie wakati wa ibada ya mazishi Iliyofanyika 
katika Kanisa la Kristu Mfalme mjni Moshi jana. 
PICHA NA FREDDY MARO WA IKULU | 
  | 
| Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka 
shada la maua katika kaburi la Askofu Mstaafu jimbo Katoloki la Moshi 
Marehemu Mhashamu Amedeus Msarikie wakati wa ibada ya mazishi 
Iliyofanyika katika Kanisa la Kristu Mfalme mjni Moshi leo. | 
  | 
| Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa 
heshima za Mwisho mbele ya jeneza la Askofu Mtsaafu jimbo Katoliki la 
Moshi Marehemu Mhashamu Amedeus Msarikie wakati wa misa ya Mazishi 
iliyofanyika katika kanisa na Kristu Mfalme, mjini Moshi leo | 
 
No comments:
Post a Comment