STORI KUHUSU RIHANA NA CHRIS BROWN KUFUNGA NDOA
Jarida maarufu (Star Magazine) 
limeripoti kwamba mastaa wa muziki Chris Brown na Rihanna wanampango wa 
kufunga ndoa mwishoni mwa July 2013 nyumbani kwa kina Rihanna huko 
Barbados.
Jarida hili limeendelea 
kutiririka kwamba kwenye ndoa hiyo wamepanga kusherehekea na watu 
mbalimbali wakiwemo wanaoamini kwamba Chris Brown amebadilika kitabia.
Ni harusi ambayo watu wote 
walioalikwa watakua wamesimama na wahudumu watakuepo kumfata kila mtu 
alipo, pia wale wachoraji wa tattoo watakuepo pia.

No comments:
Post a Comment