TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Sunday, February 17, 2013

JK AWAFARIJI WALIOFIWA UBENA MBOZI
Picha Juu na Chini ni Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa mkono wa pole na kuwafariji ndugu, jamaa na marafiki wa familia zilizoondokewa na watoto na wazazi wao kufuatia ajali ya barabarani iliyotokea maeneo ya kijiji cha Kibiki, Ubena Zomozi katika mkoa wa Pwani Februari 11, 2013 iliyoua hapohapo watu tisa wakiwemo wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Chalinze baada ya gari dogo aina ya Toyota Mark II lililokuwa limebeba abiria wanane kugongana uso kwa uso na roli.
























No comments:

Post a Comment