TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Thursday, February 21, 2013

UVUMILIVU UNAHITAJIKA KATIKA BIASHARA 
 


























Wafanya biashara ndogo ndogo wanapata wakati mgumu kweli wanapokuwa katika shughuli zao aidha kubomolewa vibanda nyao vya biashara kwa ujenzi wa majiji ama kukamatwa na wagambo wa jiji na kumwagiwa bishaa zao. Hivyo dhana kubwa ya biashara ni uvumilivu na kujipanga vizuri.

No comments:

Post a Comment