TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Tuesday, February 12, 2013


WAPENDANAO WALIVYOKUWA GUMZO KWENYE TUZO ZA GRAMMY 2013
Hakika, tamasha la 55 la Grammy lilikuwa ni tuzo, mastaa kukiuka onyo lile la kutovaa nguo za utata na kimwana Taylor Swift kucheza kama binti shabiki aliyepagawa. Lakini pia kulikuwa na wapendanao waliofika wakiwa wameambatana na wenza wao. Hapa tunakuletea wapendanao waliokuwa gumzo katika tuzo za Grammy 2013
Beyonce na Jay-Z

John Mayer na Katy Perry
Carly Rae Jepsen na Matthew Koma
Ellen DeGeneres na Portia de Rossi
Rihanna na Chris Brown

Justin Timberlake na Jessica Biel
Kelly Clarkson na Brandon Blackstock

Eric Church na Katherine Blasingame
Ne-Yo na Monyetta Shaw

Pharrell na Helen Lasichanh

Dierks Bentley na Cassidy Black

Jack Osbourne na Lisa Stelly
Jennifer Lopez na Casper Smart

Sting na Trudy Snyder
Wiz Khalifa na Amber Rose
 
LL Cool J na Simone Johnson
Kat Von D na Deadmau5

Jenna Jameson na Tito Ortiz
Faith Hill na Tim McGraw

Lena Dunham na Jack Antonoff

Alicia Keys na Swizz Beatz


No comments:

Post a Comment