TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Monday, February 18, 2013

MWANAMKE ALIYEMCHOMA MTOTO JIJINI MBEYA AHUKUMIWA KIFUNGO


Wilvina Mukandala akiwa kizimbani.
MWANAMKE Wilvina Mukandala (24) anayetuhumiwa kumnyanyasa mtoto wa dada yake aitwae Aneth Johannes (3) kwa kumfungia ndani na kumchoma kwa maji ya moto mtoto huyo kisha kukatwa mkono hospitali, amehukumiwa kifungo cha maisha jela.

No comments:

Post a Comment