OLD BAGAMOYO SASA NI MWAI KIBAKI ROAD
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Mwai Kibaki wa Kenya 
wakiongozwa na Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph  Mwenda kutembea hatua 
chache kabla ya kuzindua rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki 
linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye 
makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old 
Bagamoyo leo Februari 21, 2013
PICHA NA IKULU

Rais Mwai 
Kibaki wa Kenya akikata utepe, akishuhudiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya
 Mrisho Kikwete, Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na Meya wa 
Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda kuzindua rasmi  jina la Barabara ya 
Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo 
kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa 
Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013
![]()  | 
| Rais Mwai Kibaki wa Kenya akifunua pazia, akishuhudiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda akizindua rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013. | 

Madiwani wa kinondoni

Meya wa 
Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda akimkaribisha Rais Mwai kibaka na 
Mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika uzinduzi  rasmi wa  jina
 la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya 
Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid 
Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo Februari 21, 2013.

Meya wa 
Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda akimkabidhi zawadi ya kasha la Zanzibar
 Rais Mwai kibaka huku  Mwenyeji wake Rais Jakaya Mrisho Kikwete 
akishuhudia katika uzinduzi  rasmi wa  jina la Barabara ya Mwai Kibaki 
linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye 
makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old 
Bagamoyo leo Februari 21, 2013.


No comments:
Post a Comment