Wayne Rooney aongoza mastaa wa soka kuhudhuria ndoa ya Tom Cleverley
Kiungo
wa zamani wa klabu ya Manchester United, Cleverley mchana wa leo
alifunga pingu za maisha na mchumba wake wa muda mrefu Georgina Dorsett
katika shughuli ya kifahari iliyofanyika huko Claridge.
Ndoa
hiyo ilihudhuriwa na mastaa wengi wa soka akiwemo nahodha wa klabu ya
Manchester United na England Wayne Rooney ambaye pia aliongozana na
mkewe Coleen, Chris Smalling wa Man United, Danny Welbeck na wachezaji
wengine, pia alikuwepo muimbaji wa band ya The Saturdays, Rochelle
Humes.

Cleverley na Mkewe wakiwa wanatoka kanisani (DK)


Mchezaji wa Arsenal – Danny Welbeck

Wayne na Coleen Rooney Harusini

Wanandoa kwenye pozi la picha

No comments:
Post a Comment