SITTA AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA BANDARI YA TANGA  
Mhe Samuel Sitta akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi mkuu Ndg Awadh Massawe.

Mhe 
Samuel Sitta pia alipata fursa kuongea na wafanyakazi wa Bandari ya 
Tanga ambapo walieleza changamoto zinazowakabili wafanyakazi hao ikiwepo
 kodi inayokatwa kwenye mishahara ni kubwa ukilinganisha na kipato na 
Pia Mhe Sitta ameteua wajumbe wapya wa bodi ya bandari.(Muro)
No comments:
Post a Comment