TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Thursday, June 18, 2015

Rais Obama akerwa na mauaji Marekani 

Rais Barak Obama amesema mauaji ya watu tisa ndani ya Kanisa la Waafrika Wamarekani katika eneo la Charleston katika jimbo la Carolina Kusini yanaibua maswali kuhusu sehemu mbaya ya historia ya Marekani.
Katika hotuba yake iliyoonyeshwa katika televisheni muda mfupi baada ya polisi kumkamata mtuhumiwa ambaye ni kijana wa kizungu-- Bwana Obama amesema chuki miongoni mwa jamii kwa misingi ya rangi na imani ni kitisho kwa demokrasia ya Marekani na misingi yake.
Amesema mauaji ya watu wengi hayatokei kwa kiasi hiki katika nchi nyingine zilizoendelea, na ametaka kufanyika kwa mabadiliko ya pamoja katika fikra za Wamarekani kuhusu ghasia zinazosababishwa na matumizi ya silaha.(BBC)

Ally Kiba na Jackline Mengi wala Shavu la kuwa Mabalozi wa Wildaid


Wildaid ni Shirika linalojihusisha na uhifadhi wa wanyamapori, katika kampeni yao inayoendelea ambapo Wildaid inashirikiana na serikali katika kutokomeza ujangili hasa wa Tembo.
Ali Kiba na Jackline Mengi ni miongoni mwa wasanii waliopata shavu la kuwa balozi wa Wildaid , Lengo la Shirika hili kushirikiana na Serikali ni kuongeza ufahamu na kuelimisha jamii kuhusu tatizo sugu la ujangili linaloikabili Tanzania.
Kampeni hii inatarajiwa kuongeza mwamko wa Taasisi za kiraia katika kulinda Tembo na wanyama wengine.

ZIMBABWE TOURISM ON THE RIGHT TRACK

 Chief Executive of Zimbabwe Tourism Authority (ZTA), Karikoga Kaseke (Centre) briefing the International buyers who are attending the 8th edition of the Sanganai/Hlanganani–World Tourism Expo which is taking place in Harare International Conference Centre. Others from left is Mr. Wengayi Nhau the Representative from Zimbabwe Council for Tourism (ZCT ) , Executive Director Destination Marketing, Mr. Manjengwa Jefferies, Chief Operating Officer, Mr. Givemore Chidzidzi and Head of Africa & Middle East of Zimbabwe Tourism Authority, Ms. Praise Gurumani Mazhandu.

The Zimbabwe Tourism Authority (ZTA) has a mandate of marketing Zimbabwe as a tourism destination boasts its success in the tourism industry, by saying that last year the sector contributed 11 percent of the GDP.
On top of that the Authority has confidence that by the year 2020 they will be contributing 15 percent.
Speaking to Tanzanians journalists who are visiting Sanganai/ Hlanganani World tourism Expo, Chief Executive of Zimbabwe Tourism Authority, Karikoge Kaseke said Zimbabwe tourist industry employs 13 percent of the formal sector.
He also said 86 percent of the tourists are coming from Africa and 14 outside Africa.
He said despite these successes, the nation believes regional integrations rather than each one going of their own.
He said nothing could unite blacks rather than tourism industry hence there is a need to work together to bring tourism to another height.
He said this expo will be a great way to advertise tourism and that his country for many years have been involved in many other expo taking place in Tanzania, Kenya and South Africa also as a part of strengthening cooperation in the sector.
The Chief Executive said he was happy to see Tanzanians especially journalists who have joined this initiative to promote tourism sector.
Tanzanian journalists featured in the expo include those from Daily News, The Africans, The Guardian, East African Business week.
IMG_3868
Above and below: International buyers who attended the briefing at the Harare International Conference Centre listening attentively.
The journalists are in Zimbabwe in response to invitation from Zimbabwe Tourism Authority, a trip which was sponsored by Fastjet Airline who are planning to extend their wings to Zimbabwe.(VICTOR)
The 8th edition of the Sanganai/Hlanganani–World Tourism Expo was held from 18 – 20 June 2015 at the Harare International Conference Centre, with the target of meeting the ever-changing needs of the dynamic tourism sector.
According to the Authority there has been a big improvement for the 8th edition with 110 buyers and 27 media compared to 66 buyers and 10 international media hosted in 2014
“Despite the fact that the planning period was very limited due to the shift of dates to the first half of the year we have witnessed a great response” he said.
Speaking about the challenges they have encountered during the preparations he said inadequate of fund which remains a crippling factor for the growth of the event.
IMG_3869
IMG_3874
IMG_3884
IMG_3898
Tanzania based journalist who writes for the Guardian News paper, Frank Aman Interviewing Zimbabwe Tourism Authority Chief Executive Officer, Karikoga Kaseke (left) during the 8th edition of the Sanganai/Hlanganani–World Tourism Expo at the Harare International Conference Centre. At the centre is another Tanzanian Journalist working with East Africa Business Week, Timothy Kitundu.
IMG_3897
Zimbabwe Tourism Authority (ZTA), Chief Executive, Karikoga Kaseke exchanging ideas with participants at the 8th edition of the Sanganai/Hlanganani–World Tourism Expo which is taking place at the Harare International Conference Centre in Zimbabwe.

Tamu, chungu ya kuhamia mfumo wa matangazo ya dijitali 

Tanzania juzi iliungana na jumuiya ya kimataifa kuadhimisha uzimaji rasmi wa mfumo wa matangazo ya analojia, huku ikiwa ni miongoni mwa nchi za kwanza katika nchi zilizo kusini ya Jangwa la Sahara.
Maadhimisho hayo yamefanyika ikiwa ni mwaka mmoja na nusu wa mafanikio na changamoto tangu kuanza safari ya kuingia katika matangazo ya dijitali, ambayo ilianza rasmi Januari mosi, mwaka 2013 na kukamilika miezi mitatu iliyopita.
Ujio wa matangazo ya dijitali umefungua fursa mbalimbali za kiteknolojia, kihuduma na kibiashara kwa watoa huduma za televisheni, wafanyabiashara wadogo wadogo, mafundi na wananchi.
Kauli ya TCRA
Mkurugenzi Mkuu wa TCRA, Profesa John Nkoma anasema kuwa Tanzania imepiga hatua kwa kuwa mpaka sasa kuna visimbuzi milioni moja sokoni.
Anasema kuwa mafanikio hayo yametokana na uamuzi wa Serikali kuweka sheria, taratibu na kanuni ambazo wadau wamezitambua, tofauti na ilivyo katika nchi nyingine za Afrika, ambazo bado hazijazima mfumo wa analojia.
Profesa Nkoma anasema kwamba mamlaka hiyo iliwashawishi watu kununua visimbuzi, lakini haikuwa na maana kuwa vyote vitakuwa na chaneli za ndani, ambazo zinaonyeshwa bure.
Anaeleza kwamba baadhi ya visimbuzi ni vya kibiashara, hivyo haiwezekani kulazimishwa kuweka chaneli za bure za kitaifa. Anavitaja visimbuzi hivyo vinavyopaswa kuonyesha chaneli tano za bure kuwa ni Digitek, Continental, Startimes na Agape.
Faida za dijitali
Matokeo ya ripoti iliyotolewa na jopo la wataalam kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) ya mwaka 2013, yanabainisha faida za kutumia mfumo wa dijitali katika mawasiliano kuwa ni pamoja na kupata sauti na picha bora na matumizi bora ya masafa, ambapo chaneli moja ya analojia hutumiwa na kituo kimoja cha utangazaji wakati kwa mfumo wa dijitali chaneli hiyo hutumiwa na vituo zaidi ya kumi.(VICTOR)
Faida nyingine ni kuwa mitambo ya kurusha matangazo kutumia nguvu ndogo ya nishati na kuwepo kwa luninga za mkononi (Mobile TV) kwenye mfumo wa dijitali.
Wananchi wanasemaje?
Wakati TCRA na baadhi ya wadau wakijivunia mafanikio ya mchakato huo yakiwemo kuongeza nafasi kubwa ya masafa na urahisi wa kurusha matangazo, bado kuna baadhi ya wananchi wanahaha kuendana na teknolojia hususan kumudu gharama za huduma husika.
Fundi wa kufunga madishi ya matangazo ya televisheni mkoani Mtwara, Ali Mnunduma anasema kuwa idadi ya wanaotumia visimbuzi imeongezeka kwa kiasi kikubwa kutokana na kupata wateja wengi wanaotafuta huduma za kufungiwa madishi hayo kwenye makazi yao.
“Ukilinganisha na mwaka jana, kwa sasa watu wameamka hasa baada ya Serikali kutangaza kuwa wanazima matangazo ya analogia Songea na Mtwara, lakini wengi bado wanalalamika kuwa hawawezi kulipia Ankara za kila mwezi, hivyo tuwashauri au tuwatafautie visimbuzi vyenye chaneli zote za ndani na vya bei nafuu,” anasema Mnunduma.
Maumivu na mkanganyiko wa uelewa juu ya kupata visimbuzi vyenye chaneli tano za taifa za bure na vyenye ahueni ya malipo, vinazidi kutesa idadi kuwa ya Watanzania na kuwafanya baadhi kununua kisimbuzi zaidi ya kimoja au kushindwa kabisa na kubaki kuangalia mikanda ya video pekee.
“Ni kweli lazima tuendane teknolojia kama Serikali inavyotaka lakini ‘bill’ (Ankara) za kila mwezi zinatuumiza sana hasa pale unapotaka chaneli nzuri, kuna baadhi ya ving’amuzi ikiisha fedha yako hupati hata TBC,” anaeleza Abdallah Khamis mkazi wa Vingunguti, jijini Dar es Salaam.
Khamis anasema kuwa amenunua visimbuzi vya aina tatu tofauti, vingine vikiwa vya madishi bila kuridhika na huduma zinazotolewa na kuamua kuvitumia wakati anapopata pesa pekee.
“Unapokuwa na biashara lazima uangalie soko likoje, biashara inaendaje na ubora wa huduma, sio kama karanga ukienda sokoni utakuta hazina thamani kwa kuwa kila mtu anazo,” anaeleza Profesa Nkoma, alipoulizwa iwapo kuna uwezekano wa kuongeza watoa huduma wengine wa visimbuzi ili kuongeza ushindani na kushusha bei ya bidhaa hizo.
Ukweli wa idadi ya Watanzania wasiopata huduma ya televisheni kutokana na kutomudu gharama za kununua visimbuzi na zile za mwisho wa mwezi, bado ni giza nene kutokana na kutokuwepo utafiti mpya zaidi zile za mwaka 2013.
Utafiti wa UDSM
Matokeo ya utafiti wa Chuko Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM), yanaonyesha kuwa asilimia 89 ya kaya zilikuwa zikitumia huduma ya matangazo kwa mfumo wa kidijiti bila matatizo baada ya uzimaji wa mitambo ya analojia kwenye miji saba ilikofanyika tathmini, huku asilimia 11 ya kaya zikishindwa kupokea matangazo hayo kwa sababu mbalimbali.
Ripoti hiyo ilibainisha kwamba kati asilimia hizo 11, asilimia 5.5 hawakununua visimbizi, asilimia 0.1 walisema vilikuwa havipatikani, asilimia 3.2, walisema bei ipo juu na asilimia 0.2 walisema visimbuzi vyao vilikuwa vibovu.
“Zoezi hili halijawanyima Watanzania haki ya kupata habari kwani wengi tayari wameshajiunga na mfumo huu mpya. Jopo liliona kuwa sababu ya malalamiko mengi ni tabia halisi ya wanadamu kuogopa mabadiliko,” inasema ripoti ya UDSM.Utafiti Twaweza
Hata hivyo, ripoti hiyo inakizanzana na ile iliyotolewa na Taasisi ya Twaweza, Novemba 2013, iliyoonyesha kuwa zaidi ya asilimia 50 ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam hawakukubaliana na uamuzi wa Serikali kufunga mfumo wa analojia.
Kwa mujibu wa ripoti hiyo namba 21, inaonyesha kuwa gharama za kununua king’amuzi, kukilipia kila mwezi na mwonekano hafifu zilichangia uharakishaji wa watumiaji wa televisheni kuhama kutoka mfumo wa analojia kwenda dijitali.
Pamoja na gharama kununua visimbuzi na gharama za kila mwezi, kuna kila dalili kuwa Watanzania watahitajika tena kutoboa mifuko yao zaidi ili kuangalia televisheni kutokana na kuongezeka kwa bei ya vifaa hivyo na huduma, baada ya kasi ya kushuka kwa thamani ya Shilingi.
Kaui ya Tido
Naibu Mtendaji Mkuu wa Azam Televisheni, Tido Mhando anasema kuwa Tanzania imefanikiwa kutokana na utayari wa wadau na ari ya Serikali katika kusimamia mchakato wa kuhamia dijitali tofauti na ilivyokuwa katika nchi nyingine ikiwemo Kenya.
Tido aliyeliongoza Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC) katika hatua za kuingia mfumo wa dijitali anasema changamoto kubwa zilizosalia ni uwezo mdogo wa baadhi ya wananchi kushindwa kulipia huduma za kila mwezi za visimbuzi na mkanganyiko miongoni mwao katika kupata king’amuzi kinachokidhi mahitaji yote ya huduma ambazo zinaweza kutatuliwa na baina ya Serikali na wadau.
Hata hivyo, matumaini ya kushuka zaidi bei ya huduma za visimbuzi kwa sasa ni hafifu huku Tido akibainisha kuwa gharama za uendeshaji (hasa uingizaji visimbuzi na ununuzi wa maudhui ya nje) zimeongezeka kutokana na kushuka kwa thamani ya shilingi hali itakayozisukuma kampuni zinazohusika kuongeza bei.
“Watoa huduma (subscribers) wananunua maudhui ya nje kwa fedha za kigeni kuuza Tanzania. Kwa sababu na sarafu yetu imeshuka...kuna uwezekano mkubwa kupandisha bei ya ving’amuzi kwa sababu havina faida tena.”
“Wananchi nao lazima waelewe hivyo na suala zima la hali ya uchumi wa nchi linaathiri mambo mengi...huenda hao watu wa ving’amuzi wangetaka kushusha bei, lakini hawawezi kwa sababu hawana njia nyingine labda shilingi iimarike siku za karibuni,” anasema Tido.
Njia mbadala
Vilio vya Watanzania wasio na uwezo wa kumudu gharama hizo vinaweza vikatatuliwa iwapo Serikali itatoa ruzuku au unafuu wa kikodi kwa wasioweza kununua visimbuzi, kudhibiti bei ya malipo ya mwezi na kutumia njia mbadala zisizo za kulipia, kama anavyoeleza Mtaalamu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliaono, Dk Geoffrey Karokola.“Kwa wale ambao hawawezi kulipia kila mwezi wanaweza kununua televisheni yenye king’amuzi ndani na kupata chaneli za bure zaidi ya 90 na mimi natumia hivyo,” anaeleza Dk Karokola wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM).
“Pia, kwa wenye televisheni zisizo za dijtali wanaweza kununua visimbuzi visivyo na gharama za kila mwezi kwa kufunga madishi ya mfumo wa C-Band au Ku na watapata chaneli za ndani na nje bure.”CHANZO:MWANANCHI

Ratiba ligi kuu ya England msimu ujao yote iko hapa mtu wangu..!!

fixx
Ratiba ya ligi kuu ya England tayari imetoka rasmi ambapo mabingwa wa ligi hiyo, Klabu ya Chelsea itaanza kutetea taji la ligi hiyo wakati itakapoikaribisha nyumbani Swansea siku ya August 8 2015.
Manchester City iliyomaliza pointi nane nyuma ya Chelsea itafunga safari kupambana na West Bromwich huku Manchester United ikikabiliana na vigogo wa Tottenham katika uwanja wa Old Trafford.
Arsenal itaialika West Ham, huku Liverpool ikiivaa Stoke City, Newcastle itakabiliana na Southampton huku Leicester ikiialika Sunderland nyumbani.
RATIBA KAMILI YA LIGI KUU YA ENGLAND MSIMU WA 2015-2016 hii hapa.
Agosti 8
Bournemouth v Aston Villa
Arsenal v West Ham United
Chelsea v Swansea City
Everton v Watford
Leicester City v Sunderland
Manchester United v Tottenham Hotspur
Newcastle United v Southampton
Norwich City v Crystal Palace
Stoke City v Liverpool
West Bromwich Albion v Manchester City
Agosti 15
Aston Villa v Manchester United
Crystal Palace v Arsenal
Liverpool v Bournemouth
Manchester City v Chelsea
Southampton v Everton
Sunderland v Norwich City
Swansea City v Newcastle United
Tottenham Hotspur v Stoke City
Watford v West Bromwich Albion
West Ham United v Leicester City
Agosti 22
Arsenal v Liverpool
Crystal Palace v Aston Villa
Everton v Manchester City
Leicester City v Tottenham Hotspur
Manchester United v Newcastle United
Norwich City v Stoke City
Sunderland v Swansea City
Watford v Southampton
West Bromwich Albion v Chelsea
West Ham United v Bournemouth
Agosti 29
Bournemouth v Leicester City
Aston Villa v Sunderland
Chelsea v Crystal Palace
Liverpool v West Ham United
Manchester City v Watford
Newcastle United v Arsenal
Southampton v Norwich City
Stoke City v West Bromwich Albion
Swansea City v Manchester United
Tottenham Hotspur v Everton
 
Septemba 12
Arsenal v Stoke City
Crystal Palace v Manchester City
Everton v Chelsea
Leicester City v Aston Villa
Manchester United v Liverpool
Norwich City v Bournemouth
Sunderland v Tottenham Hotspur
Watford v Swansea City
West Bromwich Albion v Southampton
West Ham United v Newcastle United
 
Septemba 19
Bournemouth v Sunderland
Aston Villa v West Bromwich Albion
Chelsea v Arsenal
Liverpool v Norwich City
Manchester City v West Ham United
Newcastle United v Watford
Southampton v Manchester United
Stoke City v Leicester City
Swansea City v Everton
Tottenham Hotspur v Crystal Palace
 
Septemba 26
Leicester City v Arsenal
Liverpool v Aston Villa
Manchester United v Sunderland
Newcastle United v Chelsea
Southampton v Swansea City
Stoke City v Bournemouth
Tottenham Hotspur v Manchester City
Watford v Crystal Palace
West Bromwich Albion v Everton
West Ham United v Norwich City
 
Oktoba 3
Bournemouth v Watford
Arsenal v Manchester United
Aston Villa v Stoke City
Chelsea v Southampton
Crystal Palace v West Bromwich Albion
Everton v Liverpool
Manchester City v Newcastle United
Norwich City v Leicester City
Sunderland v West Ham United
Swansea City v Tottenham Hotspur
 
Oktoba 17
Chelsea v Aston Villa
Crystal Palace v West Ham United
Everton v Manchester United
Manchester City v Bournemouth
Newcastle United v Norwich City
Southampton v Leicester City
Swansea City v Stoke City
Tottenham Hotspur v Liverpool
Watford v Arsenal
West Bromwich Albion v Sunderland
 
Oktoba 24
Bournemouth v Tottenham Hotspur
Arsenal v Everton
Aston Villa v Swansea City
Leicester City v Crystal Palace
Liverpool v Southampton
Manchester United v Manchester City
Norwich City v West Bromwich Albion
Stoke City v Watford
Sunderland v Newcastle United
West Ham United v Chelsea
 
Oktoba 31
Chelsea v Liverpool
Crystal Palace v Manchester United
Everton v Sunderland
Manchester City v Norwich City
Newcastle United v Stoke City
Southampton v Bournemouth
Swansea City v Arsenal
Tottenham Hotspur v Aston Villa
Watford v West Ham United
West Bromwich Albion v Leicester City
 
Novemba 7
Bournemouth v Newcastle United
Arsenal v Tottenham Hotspur
Aston Villa v Manchester City
Leicester City v Watford
Liverpool v Crystal Palace
Manchester United v West Bromwich Albion
Norwich City v Swansea City
Stoke City v Chelsea
Sunderland v Southampton
West Ham United v Everton
 
Novemba 21
Chelsea v Norwich City
Crystal Palace v Sunderland
Everton v Aston Villa
Manchester City v Liverpool
Newcastle United v Leicester City
Southampton v Stoke City
Swansea City v Bournemouth
Tottenham Hotspur v West Ham United
Watford v Manchester United
West Bromwich Albion v Arsenal
 
Novemba 28
Bournemouth v Everton
Aston Villa v Watford
Crystal Palace v Newcastle United
Leicester City v Manchester United
Liverpool v Swansea City
Manchester City v Southampton
Norwich City v Arsenal
Sunderland v Stoke City
Tottenham Hotspur v Chelsea
West Ham United v West Bromwich Albion
 
Desemba 5 
Arsenal v Sunderland
Chelsea v Bournemouth
Everton v Crystal Palace
Manchester United v West Ham United
Newcastle United v Liverpool
Southampton v Aston Villa
Stoke City v Manchester City
Swansea City v Leicester City
Watford v Norwich City
West Bromwich Albion v Tottenham Hotspur
 
Desemba 12
Bournemouth v Manchester United
Aston Villa v Arsenal
Crystal Palace v Southampton
Leicester City v Chelsea
Liverpool v West Bromwich Albion
Manchester City v Swansea City
Norwich City v Everton
Sunderland v Watford
Tottenham Hotspur v Newcastle United
West Ham United v Stoke City
 
Desemba 19
Arsenal v Manchester City
Chelsea v Sunderland
Everton v Leicester City
Manchester United v Norwich City
Newcastle United v Aston Villa
Southampton v Tottenham Hotspur
Stoke City v Crystal Palace
Swansea City v West Ham United
Watford v Liverpool
West Bromwich Albion v Bournemouth
 
Desemba 26 
A.F.C. Bournemouth v Crystal Palace
Aston Villa v West Ham United
Chelsea v Watford
Liverpool v Leicester City
Manchester City v Sunderland
Newcastle United v Everton
Southampton v Arsenal
Stoke City v Manchester United
Swansea City v West Bromwich Albion
Tottenham Hotspur v Norwich City
 
Desemba 28 
Arsenal v Bournemouth
Crystal Palace v Swansea City
Everton v Stoke City
Leicester City v Manchester City
Manchester United v Chelsea
Norwich City v Aston Villa
Sunderland v Liverpool
Watford v Tottenham Hotspur
West Bromwich Albion v Newcastle United
West Ham United v Southampton
 
Januari 2
Arsenal v Newcastle United
Crystal Palace v Chelsea
Everton v Tottenham Hotspur
Leicester City v Bournemouth
Manchester United v Swansea City
Norwich City v Southampton
Sunderland v Aston Villa
Watford v Manchester City
West Bromwich Albion v Stoke City
West Ham United v Liverpool
 
Januari 12
Bournemouth v West Ham United
Aston Villa v Crystal Palace
Liverpool v Arsenal
Swansea City v Sunderland
 
Januari 13
Chelsea v West Bromwich Albion
Manchester City v Everton
Newcastle United v Manchester United
Southampton v Watford
Stoke City v Norwich City
Tottenham Hotspur v Leicester City
 
Januari 16 
Bournemouth v Norwich City
Aston Villa v Leicester City
Chelsea v Everton
Liverpool v Manchester United
Manchester City v Crystal Palace
Newcastle United v West Ham United
Southampton v West Bromwich Albion
Stoke City v Arsenal
Swansea City v Watford
Tottenham Hotspur v Sunderland
 
Januari 23 
Arsenal v Chelsea
Crystal Palace v Tottenham Hotspur
Everton v Swansea City
Leicester City v Stoke City
Manchester United v Southampton
Norwich City v Liverpool
Sunderland v Bournemouth
Watford v Newcastle United
West Bromwich Albion v Aston Villa
West Ham United v Manchester City
 
Februari 2
Arsenal v Southampton
Crystal Palace v Bournemouth
Leicester City v Liverpool
Manchester United v Stoke City
Norwich City v Tottenham Hotspur
Sunderland v Manchester City
Watford v Chelsea
West Bromwich Albion v Swansea City
West Ham United v Aston Villa
 
Februari 3 
Everton v Newcastle United
 
Februari 6 
Bournemouth v Arsenal
Aston Villa v Norwich City
Chelsea v Manchester United
Liverpool v Sunderland
Manchester City v Leicester City
Newcastle United v West Bromwich Albion
Southampton v West Ham United
Stoke City v Everton
Swansea City v Crystal Palace
Tottenham Hotspur v Watford
 
Februari 13 
Bournemouth v Stoke City
Arsenal v Leicester City
Aston Villa v Liverpool
Chelsea v Newcastle United
Crystal Palace v Watford
Everton v West Bromwich Albion
Manchester City v Tottenham Hotspur
Norwich City v West Ham United
Sunderland v Manchester United
Swansea City v Southampton
 
Februari 27 
Leicester City v Norwich City
Liverpool v Everton
Manchester United v Arsenal
Newcastle United v Manchester City
Southampton v Chelsea
Stoke City v Aston Villa
Tottenham Hotspur v Swansea City
Watford v Bournemouth
West Bromwich Albion v Crystal Palace
West Ham United v Sunderland
 
Machi 1 
Bournemouth v Southampton
Arsenal v Swansea City
Aston Villa v Everton
Leicester City v West Bromwich Albion
Liverpool v Manchester City
Manchester United v Watford
Norwich City v Chelsea
Sunderland v Crystal Palace
West Ham United v Tottenham Hotspur
 
Machi 2 
Stoke City v Newcastle United
 
Machi 5 
Chelsea v Stoke City
Crystal Palace v Liverpool
Everton v West Ham United
Manchester City v Aston Villa
Newcastle United v Bournemouth
Southampton v Sunderland
Swansea City v Norwich City
Tottenham Hotspur v Arsenal
Watford v Leicester City
West Bromwich Albion v Manchester United
 
Machi 12 
Bournemouth v Swansea City
Arsenal v West Bromwich Albion
Aston Villa v Tottenham Hotspur
Leicester City v Newcastle United
Liverpool v Chelsea
Manchester United v Crystal Palace
Norwich City v Manchester City
Stoke City v Southampton
Sunderland v Everton
West Ham United v Watford
 
Machi 19 
Chelsea v West Ham United
Crystal Palace v Leicester City
Everton v Arsenal
Manchester City v Manchester United
Newcastle United v Sunderland
Southampton v Liverpool
Swansea City v Aston Villa
Tottenham Hotspur v Bournemouth
Watford v Stoke City
West Bromwich Albion v Norwich City
 
Aprili 2 
Bournemouth v Manchester City
Arsenal v Watford
Aston Villa v Chelsea
Leicester City v Southampton
Liverpool v Tottenham Hotspur
Manchester United v Everton
Norwich City v Newcastle United
Stoke City v Swansea City
Sunderland v West Bromwich Albion
West Ham United v Crystal Palace
 
Aprili 9 
Aston Villa v Bournemouth
Crystal Palace v Norwich City
Liverpool v Stoke City
Manchester City v West Bromwich Albion
Southampton v Newcastle United
Sunderland v Leicester City
Swansea City v Chelsea
Tottenham Hotspur v Manchester United
Watford v Everton
West Ham United v Arsenal
 
Aprili 16 
Bournemouth v Liverpool
Arsenal v Crystal Palace
Chelsea v Manchester City
Everton v Southampton
Leicester City v West Ham United
Manchester United v Aston Villa
Newcastle United v Swansea City
Norwich City v Sunderland
Stoke City v Tottenham Hotspur
West Bromwich Albion v Watford
 
Aprili 23 
Bournemouth v Chelsea
Aston Villa v Southampton
Crystal Palace v Everton
Leicester City v Swansea City
Liverpool v Newcastle United
Manchester City v Stoke City
Norwich City v Watford
Sunderland v Arsenal
Tottenham Hotspur v West Bromwich Albion
West Ham United v Manchester United
 
Aprili 30 
Arsenal v Norwich City
Chelsea v Tottenham Hotspur
Everton v Bournemouth
Manchester United v Leicester City
Newcastle United v Crystal Palace
Southampton v Manchester City
Stoke City v Sunderland
Swansea City v Liverpool
Watford v Aston Villa
West Bromwich Albion v West Ham United
 
Mei 7
Bournemouth v West Bromwich Albion
Aston Villa v Newcastle United
Crystal Palace v Stoke City
Leicester City v Everton
Liverpool v Watford
Manchester City v Arsenal
Norwich City v Manchester United
Sunderland v Chelsea
Tottenham Hotspur v Southampton
West Ham United v Swansea City
 
Mei 15 
Arsenal v Aston Villa
Chelsea v Leicester City
Everton v Norwich City
Manchester United v Bournemouth
Newcastle United v Tottenham Hotspur
Southampton v Crystal Palace
Stoke City v West Ham United
Swansea City v Manchester City
Watford v Sunderland
West Bromwich Albion v Liverpool