UKATILI DHIDI YA WANAWAKE IWE VITA YA KUFA NA KUPONA - UN
Mhe. Sophia Simba ( Mb) akiongoza
ujumbe wa Tanzania wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 57 wa Kamisheni
kuhusu Hali ya Wanawake ( CSW) mkutano huo wa wiki mbili umeanza siku
ya jumatatu hapa makao makuu ya Umoja wa Mataifa, wengine katika picha
ni Balozi Tuvako Manongi, Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika
Umoja wa Mataifa, Mhe. Engera Kileo Mmari Jaji wa Mahakama ya Rufa,
Naibu Mwakilishi wa Kudumu, Balozi Ramadhan Mwinyi, wengine ambao wapo
katika meza hiyo ya Tanzania, ni Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya
Jamii, Jinsia na Watoto, Bi. Kijakazi Mtengwa na Mhe. Imani Aboud Jaji
wa Mahakama ya Rufaa
Na Mwandishi Maalum
Mkutano wa 57 wa Kamisheni ya Umoja wa Mataifa Kuhusu Hali ya Wanawake (CSW),umeanza siku ya jumatatu hapa Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa.
Mkutano huo wanaohusika na masuala ya wanawake na maendeleo ya jamii kwa ujumla,mbalimbali vikiwamo vyama visivyo vya kiserikali kutoka duniani kote.
Ujumbe wa washiriki kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar unaongozwa na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Sophia Simba ( MB).
Miongoni mwa wajumbe wa TanzaniaMaendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Bi. Fatma Gharib Bilal, Katibu Mkuu, Wizara ya Ustawi
na Maendeleo ya Jamii,Majaji wa Mahakama ya Rufaa, Mhe. Engera Kileo Mmari na Mhe. Iman Daud Aboud.
Akifungua mkutano huu, Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. Jan amesisitiza kwa kusema, vita vya kuutokomeza ukatili dhidi ya wanaweke lazima iwe ya kufa na kupona.
Akaeleza kwamba ukatili dhidi ya wanawake ni jambo linalotokea kila mahali hata katika nchi zilizoendelea.
Akabainisha kwamba ili kukabiliana na ukatili dhidi ya wanawake, panahitajika mchanganyiko kuanzia serikalini kwa kutekeleza sera za kuwawezesha waathirika wa vitendo hivyo kuwaadhibu wahalifu
Akaeleza pia kwamba, wanaume na watoto wa kiume wanatakiwa kuhamasishwa kushiriki katika kupiga vita ukatili dhidi ya wanawake ikiwa ni pamoja na kuwajengea utamaduni wa kuwajibika katika shughuli mbalimbali za kifamilia.
Akaeleza vinafanyika katika maeneo yenye vita na migogoro lakini pia vinafanyika katika nchi zenye amani na utulivu. Na kama hiyo haitoshi vinatendeka pia kwenye miji mikuu vijijini kwa wiki mbili
na ambao hufanyika kila mwaka unawakutanisha Mawaziri
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mkutano huu unaowajumuisha ni Bi Kijakazi Mtengwa, Katibu Mkuu Wizara ya
Vijana,Wanawake, na Watoto, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,
zaidi kwamba, vitendo hivyo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto
“Ni vitendo” anasema Naibu Katibu Mkuu. “Vinavyotokea katika maeneo ya wazi na yaliyojificha
pia. Na kwa kuwa ni jambo lisilokubalika katika maisha yetu ya kila siku, tunawajibika kulishughulikia kwa nguvu zote kila mahali na katika ngazi zote”.
Kwa mujibu wa Taasisi ya UN-WOMEN zaidi ya asilimia 70 ya wanawake katika baadhi ya nchi ni wahanga wa ukatili au ukatili wa ngono katika maisha yao. Na katika nchi kama vile Australia, Canada, Israel, Afrika ya Kusini na Marekani asilimia kati ya 40 na 70 vifo vya wanawake vinasababishwa na masuala ya mapenzi.
Naye Mkurugenzi Mtendaji wa UN-WOMEN Bi. Michelle Bachelet amewaeleza wajumbe wa Kamisheni hiyo kwamba, dunia haiwezi tena kuendelea kuhimili gharama za vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake na watoto.
Akaongeza kwamba ni wakati muafaka na wa haraka kwa serikali kuchukua hatua dhidi ya vitendo hivi ambayo anasema vinaendelea kulalamikiwa katika jamii Mwenyekiti wa CSW Balozi Marjon Kamara ambaye ni Balozi wa Liberia yeyé amesema katika wiki mbili za mkutano huo wajumbe watajadiliana na kubadilishana mawazo kuhusu mbinu mbadala na zinazotekelezeka za kuzuia ukatili dhidi ya wanawake na watoto wa wakike, mbinu ambazo kweli zitaweza kuleta matokeo.
Pamoja na Ujumbe wa Tanzania kushiriki kikamilifu katika mikutano na mijadala mbalimbali ambayo imo ndani ya ratiba kuu ya side Events), kwa lengo la kuonyesha uzoefu wa Tanzania katika kukabiliana na ukatili dhidi ya wanawake na watoto wa kike
Mjadala wa kwanza umeandaliwa na washiriki kutoka Tanzania Visiwani, mada yake itahusu:
Vunja ukimya, unga mkono juhudi za sekta mtambuka katika kuzuia na kukabiliana na unyanyasaji dhidi ya wanawake; uzoefu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; mfano wa Zanzibar.
Vunja ukimya, unga mkono juhudi za sekta mtambuka katika kuzuia na kukabiliana na unyanyasaji dhidi ya wanawake; uzoefu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; mfano wa Zanzibar.
Na mjadala wa pili umeandaliwa na Chama cha Majaji Tanzania, utajadili kuhusu: Ukomeshaji wa matumizi mabaya ya mamlaka kwa madhumuni ya kudhalilisha kingono ( sextortion); Uzoefu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
CSW. Tanzania nayo itakuwa na mijadala yake miwili
No comments:
Post a Comment