KAMATI ZA KUSIMAMIA OFISI ZA VIONGOZI
Mkuu wa
Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali Said Mwema (kushoto)
akimsalimia mjumbe wa Kamati ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa
Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Kamati hiyo ilifanya ziara
Makao Makuu ya jeshi hilo yaliyopo jijini Dar es Salaam kwa lengo la
kujifunza masuala mbalimbali ya jeshi hilo.
Mkuu wa
Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali Said Mwema (wa tatu kutoka
kushoto) akizungumza na wajumbe wa Kamati ya Kusimamia Ofisi za Viongozi
Wakuu wa Kitaifa ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Kamati hiyo
ilifanya ziara Makao Makuu ya jeshi hilo yaliyopo jijini Dar es Salaam
kwa lengo la kujifunza masuala mbalimbali ya jeshi hilo.
Mkuu wa
Jeshi la Polisi nchini, Inspekta Jenerali Said Mwema akiwafafanulia
jambo wajumbe wa Kamati ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa
ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar. Kamati hiyo ilifanya ziara Makao
Makuu ya jeshi hilo yaliyopo jijini Dar es Salaam kwa lengo la kujifunza
masuala mbalimbali ya jeshi hilo.
PICHA ZOTE NA:KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
No comments:
Post a Comment