WATANZANIA WAWASILISHA VIZURI KATIKA MASHINDANO YA INFOMATRIX AFRICA


Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Dr. Shukuru Kawambwa
akiwakabidhi vyeti na hundi ya dolla 300 moja ya washindi wa medali ya Silva
Eben Kinabo (wakwanza kulia) na Tabian Senga(katikati) kutoka shule ya
Sekondari ya Loyola Tanzania katika hafla ya tuzo za mashindano ya
“Infomatrix Africa” yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Washiriki wa Infotrix Africa walioiwakilisha vizuri Tanzania
katika mashindano hayo yaliyomalizika wikendi hii.
katika mashindano hayo yaliyomalizika wikendi hii.
No comments:
Post a Comment