KAMATI YA BUNGE YA MIUNDO MBINU YATEMBELEA DARAJA LA KIGAMBONI
Mkurgenzi
Mkuu wa Shirika la taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ramadhani Dau
akifafanua jambo mbele ya wajumbwe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu
walipofanya ziara ya kuangalia maendeleo ya ujenzi wa mradi wa daraja la
Kingamboni jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Ramadhan Dau (wa
pili kushoto) akiangalia maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigamboni
wakati Kamati ya Bunge ya Miundombinu ilipotembelea mradi huo leo.
Kushoto ni Mhandisi wa NSSF, John Msemwa.
Mhandisi
wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), John Msemwa akitoa mada
wakati Kamati ya Bunge ya miundombinu ilipotembelea mradi wa ujenzi wa
daraja la Kigamboni..
Naibu Waziri wa Ujenzi, Gerson Lwenge akizungumza wakati kamati hiyo ilipotembelea mradi wa Ujenzi wa daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam leo.
Kamati ya Bunge ya Miundombinu ikiangalia maendeleo ya ujenzi wa daraja hilo.
Mafundi kazini sehemu zao za kazi.
No comments:
Post a Comment