TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Tuesday, March 5, 2013

MKUTANO WA MWAKA KUHUSU MAGONJWA YASIYOPEWA KIPAUMBELE
IMG_0096Kaimu  Mganga wa Serikali, Dk.Donald Mbando  wa pili kulia akijadiliana jambo na baadhi ya wadau wa mkutano mkuu wa mwaka  wa Wizara ya Afya na Ustawi  wa Jamii kuhusu magonjwa  yasiyopewa kipaumbele  unaoendelea  kwenye hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam.
                                PICHA NA MAGRETH KINABO WA MAELEZO
IMG_0093
Kaimu  Mganga wa Serikali, Dk.Donald Mbando  wa kulia akisalimiana na  mdau  kutoka  Shirika la Maendeleo la Misaada la Marekani (USAID), Dk. Angela Weaver   katika  mkutano  mkuu wa mwaka  wa Wizara ya Afya na Ustawi  wa Jamii kuhusu magonjwa  yasiyopewa kipaumbele  unaoendelea  kwenye hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam.

Home 2 155 
Baadhi ya wadau  wa mkutano  mkuu mwaka wa  Wizara ya Afya na Ustawi  wa Jamii kuhusu magonjwa  yasiyopewa kipaumbele  unaoendelea  kwenye hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam wakifualiatiliamkutano kwa makini.
Home 2 150(1)
Mratibu wa Magonjwa yasiyopewa kipaumbele, Dk. Upendo Mwingira akiwasilisha mada juu ya  magonjwa  hayo kwa wadau wa mkutano  mkuu mwaka wa  Wizara ya Afya na Ustawi  wa Jamii kuhusu magonjwa  yasiyopewa kipaumbele  unaoendelea  kwenye hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment