JK AFUNGA RASMI MAFUNZOYA JKT YA MUDA MFUPI KWA WABUNGE RUVU JKT
Amiri
Jeshi Mkuu,Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi cheti cha
kuhitimu mafunzo ya muda mfupi kwa viongozi mbunge wa viti maalum Ester
Bulaya leo katika kambi ya RUVU JKT.Rais Kikwete amefunga rasmi mafunzi
hayo leo yaliyofanyika kwa wiki tatu.(Picha na Freddy Maro)

Wabunge Halima Mdee na Ester Bulaya pamoja na wenzao wakila kiapo wakati wa kuhitimu mafunzo ya muda mfupi yaliyofanyika katika kambi ya jeshi la Kujenga Taifa Ruvu JKT huko kibaha Mkoani Pwani leo
No comments:
Post a Comment