SIKU YA WANAWAKE DUNIANI: SALMA KIKWETE, DIAMOND, NANCY SUMARI NA WENGINE KIBAO WAFUNGUKA
Leo
ni miaka 99 tangu kuanzishwa kwa siku ya wanawake duniani
iliyoadhimishwa kwa mara ya kwanza March 8, 1914 ambapo mwanzoni ilikuwa
ikijulikana kama ‘Siku ya wanawake wafanyao kazi duniani’.
Ni siku ya kuwapa heshima wanawake, kuwapongeza na kuwaonesha upendo katika jitihada zao kiuchumi, kiasiasa na kijamii.
Katika nchi zingine siku hii imefunika ile ladha ya kuchanganyika na siasa na kuwa siku ya wanaume kuelezea upendo wao wanawake kama ilivyo Mother’s Day na Valentine’s Day. Soma jinsi watu mbalimbali mashuhuri nchini (na kwingineko) wanavyoizungumzia siku hii.
Mama Salma Kikwete
Leo ni siku ya wanawake Duniani.,ni siku ya kujitazama kama Taifa juu ya hali ya wazazi hawa na walezi wa Taifa hili. Ni siku ya kujipima na kutathimini namna gani, wanawake wamewezeshwa kujitambua na kushirikishwa katika mipango ya maendeleo ya jamii yetu. Tunapofikiri kama Taifa ni namna gani tunaweza kujikomboa katika Umasikini tulionao ni lazima mipango hiyo iende sambamba na mipango na mikakati ya ukombozi kwa wanawake wa Taifa hili.
Nancy Sumari
Even when we are a mess, we still put on vests with ‘S’ on our chests, Oh yes, we are Super Women, and today is our day…Happy Womens day!!
Diamond
HAPPY WOMEN’S DAY……. I LOVE MY MAMA MORE THAN ANYTHING IN THIS WORLD….SHE HAS BEEN THROUGH ALOT WITH ME…… MUCH LOVE TO ALL WOMEN’S IN THIS WORLD…..!!
Dj Fetty
Ukiacha mama yangu mzazi, ambae ndie namba moja yangu katika hii dunia…huyu ni mwanamke ambae siku zote namuangalia kwa mafanikio na heshima aliyo nayo katika jamii…ASHA ROSE MIGIRO.
Dayna Nyange
Naungana na wanawake wengne duniani kote katika kuadhimisha Siku ya wanawake duniani. Nawashauri wanawake wenzangu juu ya kujituma kufanya kaz ili kujipatia maendeleo bila kutegemea wanaume. Naamini wenyewe tunaweza tena bila ata ya kuwezeshwa.
Nakupitia siku hii muhimu kwetu naiomba serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kuhakikisha inapambana vilivyo juu ya unyanyasaji wa kijinsia tunaoupata wanawake, hasa ubakaji, ukeketaji na mauaji yanayoendelea zidi yetu, tunaiomba serikali ihakikishe kwamba wahusika wa matukio kama hayo wanachukuliwa hatua za haraka ili kukomesha maovu hayo.
Pia ni jukumu la kila mwanamke na Niwajibu wetu kina Mama pia na jamii kwa jumla kupambana na majanga haya. tushikamane kujiletea. Tupendandane tushikamane WANAWAKE TUNAWEZA.
Nisher
My Mom will Forever Be The #1 Woman I Can Trust! Happy women’s Day to Her and All The Ladies Up in here!!!! …… nisher 1989
Chameleone
Of all earthly music, that which reaches farthest into heaven is the beating of a truly loving heart. Happy Women’s day to the women in my life, my MOM & my WIFE… and an especially special one to the most beautiful little gals ever created who am raising into great women of substance .GOD Bless you AYLA & ALBA..You are Papa’s greatest love …THE LEONE ISLAND JOINS THE REST OF THE WORLD TO CELEBRATE A SPECIAL DAY.TO ALL WOMEN IN THE WORLD,YOU ARE APPRECIATED,YOU ARE RESPECTED. GOD BLESS YOU ALWAYS
Cynthia Masasi Mziray
Dear Mom, you will always and forever be the first woman I have ever loved this much!! ♥ There is no one like you, no mother quite like you. You are so very thoughtful and caring, and I just wanted to thank you mom, for making my life brighter!!U made me a beautiful daughter,a sweet sister,a lovely lover, a darling wive, adorable mother,a great friend and a source of strength, we as WOMEN should love ourselves and love others! Happy Women’s Day to all the beautiful and caring Women in the whole World!
Feza Kessy
Happy Women’s Day to all of you out there. Let’s Love and Support one another instead of “hating” Ok,off to Kisongo prison to spread Love and Hope to the women there.
Jacqueline Ntuyabaliwe aka Klyinn
Happy Women’s Day to all the women,especially those who have crossed the glass ceiling,and proven that they can!
Webiro ‘Wakazi’ Wassira
HAPPY WOMAN’S DAY to all the Beautiful, Strong and Loving Women in my life!! specially you Mom. Love You.
Albert Mangwair
On that day God created Eve is the day Adam really started to live a life can’t imagine the world without you,so cruel,WE LOVE YOU – HWD

No comments:
Post a Comment