KAMATI YA KATIBA , SHERIA NA UTAWALA YAKUTANA NA OFISI YA BUNGE

Katibu
wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa
kamati ya katiba, Sheria na Utawala wakati wa kikao na kamati hiyo
iliyokutana na watendaji wa Ofisi ya Bunge kwa lengo la kupata taarifa
ya utekelezaji wa majukumu ya Ofisi hiyo. Kulia kwake ni Mkurugenzi wa
Utawala na rasilimali watu Bi. Kitolina Kippa.

Katibu
wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa
kamati ya katiba, Sheria na Utawala wakati wa kikao na kamati hiyo
iliyokutana na watendaji wa Ofisi ya Bunge kwa lengo la kupata taarifa
ya utekelezaji wa majukumu ya Ofisi hiyo.
No comments:
Post a Comment