CGP JOHN MINJA ATETA NA WAKUU WA JESHI LA MAGEREZA BARANI AFRIKA, NCHINI ZAMBIA
Mkuu
wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali, John Minja (waliokaa wa
kwanza kulia) akiwa na wakuu wa jeshi hilo wa nchi mbalimbali barani
Afrika (waliokaa) pamoja na maofisa wao (waliosimama) baada ya kufanya
mkutano wa Taasisi za Urekebishaji Barani Afrika (ACSA). Wakuu hao wa
taasisi hiyo walifanya mkutano wao katika Hoteli ya Sun iliyopo mjini
Livingstone, nchini Zambia mwishoni mwa wiki, wakijadili masuala
mbalimbali ya kuyaboresha majeshi yao. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
No comments:
Post a Comment