TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Wednesday, March 6, 2013

WAZIRI MKUU WA DENMARK AWASILI TANZANIA
8E9U4793
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Waziri mkuu wa Denmark Mhe.Helle Thorning-Schmidt muda mfupi baaday kuwasili katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam ambapo alipokea maua,kukagua gwaride na kungalia ngoma za utamaduni  (picha zote na Freddy Maro)

8E9U4827
Waziri mkuu wa Denmark Mhe.Helle Thorning-Schmidt akikagua gwaride maalum  ngoma za asili mara baada ya kuwasili nchini jana

8E9U4857
Waziri mkuu wa Denmark Mhe.Helle Thorning-Schmidt akiangalia ngoma za asili mara baada ya kuwasili nchini leo

No comments:

Post a Comment