TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Friday, March 22, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA MABADILIKO WA TABIA YA NCHI 

01 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwahutubia washiriki wa Mkutano wa kimataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi, wakati akifungua mkutano huo wa siku tatu ulioanza leo Machi 21,2013 kwenye Hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam. Picha na OMR

1 

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Sazi Salula na Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Charles Kitwanga, wakiwa ni miongoni mwa waliohudhuria ufunguzi wa mkutano huo leo. 02 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Fatma Fereji, wakionyesha moja vitabu vya Mabadiliko ya Tabianchi, baada ya kuzinduliwa na Makamu wa Rais wakati alipokuwa akifungua rasmi mkutano wa Kimataifa wa siku tatu wa Mabadiliko ya Tabinchi, ulioanza leo Machi 21, 2013 katika Hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam. Wa pili (kushoto) ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Terezya Huvisa (kushoto) ni Makamu Katibu Mtendaji wa UNFCC, Richard Kinley. Picha na OMR
02B 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Mwakilishi wa Balozi wa Denmark, Hanne Fritzen,wakionyesha moja vitabu vya Mabadiliko ya Tabianchi, baada ya kuzinduliwa na Makamu wa Rais wakati alipokuwa akifungua rasmi mkutano wa Kimataifa wa siku tatu wa Mabadiliko ya Tabinchi, ulioanza leo Machi 21, 2013 katika Hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Terezya Huvisa (kulia) ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Fatma Fereji.Picha na OMR 2 
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Mhe. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akiwahutubia wakati akifungua rasmi mkutano wa kimataifa wa siku tatu wa Mabadiliko ya Tabianchi, jijini Dar es Salaam leo. Picha na OMR
03 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Fatma Fereji, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Terezya Huvisa,Mwakilishi wa Balozi wa Denmark, Hanne Fritzen,Makamu Katibu Mtendaji wa UNFCC, Richard Kinley na Mkurugenzi wa Msaidizi wa Idara ya Mazingira, Richard Muyungi, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi baada ya ufunguzi wa mkutano huo, leo. Picha na OMR 04Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Fatma Fereji, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Terezya Huvisa,Mwakilishi wa Balozi wa Denmark, Hanne Fritzen,Makamu Katibu Mtendaji wa UNFCC, Richard Kinley na Mkurugenzi wa Msaidizi wa Idara ya Mazingira, Richard Muyungi, wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi baada ya ufunguzi wa mkutano huo, leo. Picha na OMR

No comments:

Post a Comment