MKURUGENZI MKUU WA WIPO AWASILI NCHINI TANZANIA
Mkurugenzi
Mkuu wa World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry
(wa pili kulia) akipokelewa na mwenyeji wake Mkurugenzi wa Uhamasishaji
Biashara na Masoko wa Wizara ya Viwanda na Biashara Odilo Majengo
(kulia) kwa niaba ya Waziri Dkt. Abdallah Kigoda mara baada ya kuwasili
katika Uwanja wa ndeege wa Kimataifa wa Mwl. JK Nyerere jijini Dar. Wa
Pili kushoto ni Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Dkt. Alberic
Kacou. (Picha na Zainul Mzige wa Mo Blog)
Mkurugenzi
Mkuu wa World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry
na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Dkt. Alberic Kacou
wakielekea katika chumba maalum cha wageni maalum kwenye Uwanja huo.
Mkurugenzi
Mkuu wa World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry
akibadilishana mawazo baadhi ya maafisa mbambali wa Wizara.
Mkurugenzi
Mkuu wa World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry
akizungumza na mwenyeji wake Mkurugenzi wa Uhamasishaji Biashara na
Masoko wa Wizara ya Viwanda na Biashara Odilo Majengo.
Mkurugenzi
Mkuu wa World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry
katika tete a tete na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Dkt. Alberic
Kacou.
Mkurugenzi
Mkuu wa World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry
akipitia moja ya magazeti maarufu nchini Tanzania la The Citizen ambalo
limeandika habari kuhusiana na mkutano aliokuja kuhudhuria. Kushoto ni
Dkt. Alberic Kacou.
Mkurugenzi
Mkuu wa World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry
akisaini daftari la wageni katika chumba maalum cha wageni maalum mara
baada ya kuwasili nchini.
Mkurugenzi
Mkuu wa World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry
akiteta jambo na Mkurugeni Mkazi wa Umoja wa Mataifa Dkt. Alberic Kacou
wakati akijiandaa kuondoka katika Uwanja wa ndege. Kushoto ni Mkurugenzi
wa Uhamasishaji Biashara na Masoko wa Wizara ya Viwanda na Biashara
Odilo Majengo.
Mkurugenzi Mkuu wa World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry akiingia kwenye gari maalum kuelekea hotelini.
Mkurugenzi
Mkuu wa World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry
akiwasili hotelini na kulakiwa na baadhi ya maofisa wa WIPO.
Mkurugenzi
Mkuu wa World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry
akipewa maelekezo machache kuhusiana na taratibu za mkutano wa kujadili
Changamoto za Maendeleo katika Bara la Afrika katika mkutano nchini
Tanzania.
Mkurugenzi
Mkuu wa World Interllectual Property Organization (WIPO) Francis Gurry
awasili nchini Tanzania leo kuhudhuria mkutano utakao zungumzia pamoja
na mambo mengine Changamoto za Maendeleo katika Bara la Afrika.
Katika
Mkutano huo wa siku mbili unaotarajiwa kuanza kesho pia wadau
watazungumzia nafasi ya WIPO katika Kuchochea Maendeleo barani Afrika.
Mkutano
huo utakaohitimishwa kesho kutwa utamalizika kwa kwa kuwa na kipindi
cha majadiliano na kutoa maoni, ambapo wadau watatoa mitazamo yao
kuhusiana na ajenda zilizowasilishwa na kutafuta mwelekeo wa pamoja.
No comments:
Post a Comment