TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Monday, March 18, 2013

MKUU WA JESHI LA POLISI IGP SAID MWEMA AFUNGUA KITUO CHA POLISI MWABWEPANDE

 

1 





















Mkuu wa Jeshi la Polisi IJP Said Mwema, akiweka jiwe la Msingi katika kituo cha Polisi Mji mpya wa mabwepande, Wilaya ya kinondoni Jijini  Dar es salaamu.

2
Maofisa wa Polisi na wakazi wa mabwepande wakishangilia kufunguliwa rasmi kwa kituo cha Polisi katika mji mpya wa mabwepande.
3 
Mkuu wa Jeshi la Polisi IJP Said Mwema akiwahutubia wakazi wa mji mpya wa mabwepande mara baada ya kuweka jiwe la msingi katika kituo kipya cha Polisi kwa ajili ya kuimarisha ulinzi katika mji huo mpya. 
4
Msemaji wa Jeshi la Polisi Advera Senso pamoja na maofisa wengine wakiwa nje ya jengo jipya la kituo cha Polisi Mabwepande mara baada ya Mgeni rasmi IGP Said Mwema kuweka jiwe la Msingi

No comments:

Post a Comment