KINANA NA UJUMBE WAKE WAPATA SEMINA HUKO BEIJING
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wa nne kulia) na ujumbe wa viongozi 14
wa CCM anaoongoza nao katika ziara ya mafunzo nchini China kwa mwaliko
wa Chama Cha Kikomunisti cha nchi hiyo (PCP), wakiwa kwenye semina
iliyoendeshwa na Profesa Fan Jida (wa nne kushoto) kukua kwa Uchumi wa
China na changamoto inazokabiliana nazo kiuchumi. Semina hiyo imefanyika
katika hoteli ya Wanshou mjini Baijing Chna, Machi 18, 2013. Baadhi ya
washiriki kutoa kulia ni Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya Maganga Sengelema,
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Martine Shigela,
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Simiyu Dk. Titus Kamani, Mjumbe wa Kati Kuu ya
CCM, Khadija Aboud na Katibu wa NEC, Siasa, Uhusiano wa Kimataifa, Dk.
Asha-Rose Migiro, Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar) Vuai Ali Vuai. (Picha na Bashir Nkoromo).
No comments:
Post a Comment