TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Thursday, March 26, 2015

YANGA YAZIDI KUJICHIMBIA KILELENI, YAICHAPA JKT RUVU 3-1

 Simon Msuva (kushoto) akimkumbatia Mrisho Ngasa huku Danny Mrwanda. Kulia ni Danny Mrwanda baada ya kuifungia kimu yake bao la tatu ambapo Yanga ilishinda 3-1. (Picha zote na Francis Dande)
 Mshambuliaji wa Yanga, Danny Mrwanda akichuana na Damas Makwaya wa JKT Ruvu (kushoto), katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Taifa jana.
Msuva akimtoka beki wa JKT Ruvu, Mohamed Faki akiambaa na mpira.(P.T)
 Mrisho Ngasa (kushoto) akichuana na Mohamed Faki.
 Damas Makwaya akimtoka Danny Mrwanda.
 
 Wachezaji wa Yanga wakishagilia baada ya kuifunga JKT Ruvu.
 
 Raha ya ushindi.
 Uleeeeeeeeeeeeee.
 Yanga mwendo mdundo.
 Mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva akimpigia saluti Mrisho Ngasa mara baada ya kuifungia timu yake bao la tatu dhidi ya JKT Ruvu katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 3-1.
 Mashabiki wa Yanga wakishangilia.

No comments:

Post a Comment