TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Wednesday, March 18, 2015

Sentensi mbili za Spika Anne Makinda kuhusu Ubunge wa Zitto Kabwe

419mzsh
Bado kuna mvutano ambao upo kuhusu ishu ya Mbunge Zitto Kabwe kusimamishwa uanachama wa CHADEMA ambapo uamuzi huo ulitokana na kuwepo taarifa kwamba kesi aliyofungua Mbunge huyo kupinga kuvuliwa uanachama ilikuwa imeondolewa Makahamani.
Zitto alienda kuwaaga wananchi wake wiki iliyopita jimboni kwake kwamba hatogombea tena Ubunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, bado kuna mvutano juu ya namna ambavyo uamuzi wa Mahakama umetolewa.
Leo Kikao cha Bunge kimeanza, Spika wa Bunge la Tz, Anne Makinda amesema ishu ya Mbunge Zitto Kabwe kusimamishwa bado haijawafikia rasmi taarifa ya Mahakama kuhusu kufutwa kwa kesi yake.
Kitu chenyewe kinachotokea ni kuarifu Tume ya Uchaguzi kwamba huyu mtu sasa hayupo.. Suala lenyewe lilikuwa Mahakamani, sisi lazima tupewe official communication“– Spika Anne Makinda

No comments:

Post a Comment