TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Tuesday, March 3, 2015

DK.SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA UHOLANZI  

ba1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Uholanzi nchini Tanzania Mhe,Jaap Fredriks alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
ba2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na mgeni wake Balozi wa Jamhuri ya Uholanzi nchini Tanzania Mhe,Jaap Fredriks alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo baada ya mazungumzo yao,[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment