TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Monday, March 30, 2015

BONDIA VICENT MBILINYI AGALAGAZA YUSUFU MKALI KWA K,O

Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Yusufu Mkali wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Mbilinyi alibuka na ushindi wa K,O ya raundi ya tatu kwa kumpiga makonde mfululizo Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Yusufu Mkali wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Mbilinyi alibuka na ushindi wa K,O ya raundi ya tatu kwa kumpiga makonde mfululizo Picha na SUPER D BOXING NEWS
Na Mwandishi Wetu
BONDIA Chipkizi katika tasnia ya mchezo wa masumbwi nchini anaekuja kwa kasi Vicent Mbalinyi mwishoni mwa wiki iliyopita amefanikiwa kumpiga kwa K,O ya raundi ya tatu
bondia Yusufu Mkali mpambano uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa manyara parck manzese
mpambano uho ulioanza kwa mashambilizi ya zam kwa zam na kushangiliwa na mashabiki wa kila upande
ambapo kili mmoja alikuwa na molali ya mchezo uho ata hivyo ilivyofika raundi ya tata Mbilinyi alipiga ngumi mchanganyiko mfululizo na refarii Saidi Chaku alisimamisha mpambano uho uku bondia Mkali akichuluzikwa na damu nyingi juu ya jicho kwa ngumi alizopigwa
mpambano uhu ni wa nne kwa mbilinyi tokea aingie rasmi katika masumbwi ya kulipwa akiwa chini ya kocha Rajabu Mhamila 'Super D'
katika mchezo wake wa kwanza alicheza na Kulwa Bushili
ambaye alimshinda kwa pointi mchezo wake wa pili alicheza na Halidi Manjee mchezo ambao ulikuwa na upinzani wa ali ya juu katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba na kufanikuwa kumnyuka Manjee mchezo wake wa tatu alicheza katika uwanja wa ndani wa taifa na Epson John wa Morogoro na kutoka nae droo ya kufungana kwa point za majaji Daniel kilonge

VICENT MBILINYI
Bondia Vicenti Mbilinyi kushoto wakati wa mazoezi akiwa amepozi na bondia Ibrahimu Class ;King Class Mawe' ambaye ni bingwa wa mikanda miwili ya Afica wa WPBF alioupata Zambia na wa U.B.O alioupata baada ya kumdunda Cosmas Cheka wa MOROGORO

No comments:

Post a Comment