Viwanja 10 vinavyoongoza kwa kuchukua idadi kubwa ya mashabiki duniani
Mchezo
wa soka umeendelea kuwa mchezo unaoongoza kwa kupendwa na watu wengi
zaidi duniani na kuwa na idadi kubwa ya mashabiki pengine kuliko mchezo
mwingine wowote.
Tumeshuhudia kwa timu zilizoendelea
wanaweka nguvu kubwa kuwekeza sio kwenye wachezaji wakali uwanjani bali
hata kuwa na viwanja vizuri.
Leo nakuwekea hii ya list ambayo ina
pichaz za hivi viwanja 10 vya mpira wa miguu ambavyo vinaongoza kwa
kuchukua idadi kubwa ya mashabiki duniani:-
1. Rungrado May Day Stadium2. Salt Lake Stadium
3. Bukit Jalil National Stadium
4. Camp Nou

Upo Hispania, una uwezo wa kuchukua mashabiki 99,786. Huu ni Uwanja wa nyumbani wa Klabu ya Barcelona.

Upo Johannesburg Afrika Kusini, una uwezo wa kuchukua mashabiki 94,736. Jina maarufu ambalo Uwanja huu unaitwa ni Soccer City.
7. Cotton Bowl Stadium
8. Memorial Stadium
9. Wembley Stadium
10. Eden Garden
No comments:
Post a Comment