Shanga za kale zagundulika nchini MISRI
Wataalamu
wa mambo ya kale mjini TEL AVIV, nchini ISRAEL, wamefukua na kubaini
shanga za kale kutoka nchini MISRI, zilizofukuliwa katika mji huo.
Kwa
mujibu wa wataalamu hao, shanga hizo ambazo ni za vito vya rangi ya
bluu, zinaashiria kuwa wamisri, waliishi maeneo ya kaskazini zaidi mwa
mashariki ya kati kuliko inayoonekana hivi sasa.
Shanga hizo zinaonekana kuwa na umri wa miaka elfu tano iliyopita.
No comments:
Post a Comment