TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Tuesday, February 3, 2015

MJERUMANI WA CHELSEA AAMUA KUREJEA BUNDESLIGA  


Dirisha liko mbioni kufungwa; Mjerumani Andre Schuerrle amerejea kwao Ujerumani na kujiunga na Wolfsburg.
Klabu hiyo imelazimika kutoboka mfuko kwa kumwaga kitita cha pauni milioni 24 kwa Chelsea.
Tayari mtandao wa klabu hiyo ya London umeeleza kuhusiana na kuondoka kwake na kumtakia kila la kheri.
                                                                                                  VICTOR SIMON

No comments:

Post a Comment