IVORY COAST BINGWA AFCON 2015

Mabingwa wapya wa Kombe la Mataifa Afrika 2015, Ivory Coast wakipozi na kombe

Straika 
wa Manchester City, Wilfried Bony akiwa amembeba shujaa wa Ivory Coast 
Boubacar Barry (katikati), aliyefunga penalti ya mwisho.

Nahodha wa Ivory Coast, Yaya Toure akifurahia ubingwa.

Patashika wakati wa fainali 
TIMU ya 
Ivory Coast imetwaa ubingwa wa Kombe la Mataifa Afrika 2015 baada ya 
ushindi wa penalti 9-8 dhidi ya Ghana baada ya kutoka suluhu katika 
dakika 120 za mchezo.
Fainali hiyo imepigwa huko Bata nchini Equitorial Guinea usiku huu.
VIKOSI:
Ghana (4-3-3): Razak; Boye, Rahman, Mensah, Afful; Mubarak, Acquah, Ayew; Atsu (Acheampong, 115), Gyan (Agyemang-Badu, 120) Appiah (Ayew, 98)
Ghana (4-3-3): Razak; Boye, Rahman, Mensah, Afful; Mubarak, Acquah, Ayew; Atsu (Acheampong, 115), Gyan (Agyemang-Badu, 120) Appiah (Ayew, 98)
Wachezaji waliokuwa benchi na hawakutumika: Sowah, Gyimah, Awal, Rabiu, Asante, Otoo, Amartey, Accam, Dauda
Ivory 
Coast (4-4-2): Barry; Bailly, Aurier, Kanon, Toure; Tiene (Kalou, 114), 
Die, Toure, Gradel (Doumbia, 66); Bony, Gervinho (Tallo, 120)
Wachezaji waliokuwa benchi na hawakutumika: Mande, Viera, Roger, Doukoure, Akpa Akpro, Diomande, Traore.CHANZO:.Globalpublishers
No comments:
Post a Comment