UZALISHAJI WA MAFUTA KUENDELEA -OPEC
Bei ya
mafuta ulimwenguni imeendele kushuka kwa kiwango cha chini kwa kipindi
cha miaka minne baada ya tamko la shirika la uzalishaji wa mafuta kwa
wingi duniani OPEC ,kwamba halitaacha kuzalisha mafuta ili kuepusha
kupanda kwa bei.
Kufuatia
taarifa hiyo gharama ya mafuta ghafi imeshuka kwa dola elfu sabini na
mbili za marekani,baada ya washirika kumi na mbili wa OPEC kuamua
kuendelea na uzalishaji wa mafuta kwa mapipa elfu thelathini kwa siku.
Kwa
muujibu wa mwandishi wa BBC wa masuala ya kiuchumi amesema kwamba
muungano huo wa kikiritimba ili kudhibiti biashara ya mafuta hauna
jipya,licha ya nchi kama Nigeria na Iran wangependa kusitisha uzalishaji
ili bei ya mafuta ipande.
Saudi
Arabia kwa kawaida hawako tayari kucheza mchezo wake wa asili wa
kusawazisha soko la mafuta vinginevyo wazalishaji wote waamue kusitisha
uzalishaji.
Mshirikishe mwenzako Unavyoweza kumshirikisha mwenzako.CHANZO:BBC
No comments:
Post a Comment