TIFFAN ENT

TIFFAN ENT

TUKO WANGAPI

TUKO WANGAPI

GLORY FREIGHT

GLORY FREIGHT

Tuesday, November 11, 2014

Hii inahusu punda kushirikishwa kufanya mauaji ya binadamu kutokana na imani za kishirikina.

Farasi
Tumezoea kuona matukio ya kikatili yanayofanyika kutokana na imani za kishirikina hasa pale  mtu anapohisiwa kuwa na matendo ya kishirikina na kufanyiwa matendo ya kinyama kwa wananchi kujichukuli sheria mkononi kinyume cha sheria huku wakijua ni kosa, hii imekuwa tofauti kabisa nchini India.
Polisi inawashikilia watu thelathini wakihusishwa na tukio hilo la kumdhalilisha mwanamke mmoja magharibi mwa India baada ya kumpa adhabu ya kuburuzwa na Punda akiwa nusu utupu, adhabu iliyoamriwa na baraza la kijiji cha Panchayat.
Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka arobaini na tano alifanyiwa kitendo hicho baada ya kushutumiwa kumuua binamu yake kwa imani za kishirikina.
Familia ya mwanamke huyo iliuchoma mwili wake na kuuzika kabla ya kutoa taarifa kwa polisi.

No comments:

Post a Comment